| E-mail this to a friend | Printable version |
|
||||||
| Session No | Question Number | To the Ministry of | Sector | Date Asked | ||
|---|---|---|---|---|---|---|
| 7 | 123 | FINANCE AND ECONOMIC AFFAIRS | Loans | 23 April 2012 | ||
| Mheshimiwa Spika, kwa kuwa ili kuongeza tija katika kilimo na uwekezaji nchini ilikubalika kwamba benki ya TIB itapata bilioni 5 kwa kipindi cha miaka 5 yaani 2010/2015. Na kwa kuwa mwaka huu wa fedha ambao tunaumaliza hakuna fedha yoyote ambayo imepelekwa katika benki hiyo. Je, sasa Waziri ataliambia Bunge hili kuwa katika Bajeti hii tunayoianza shilingi bilioni 125 zitapelekwa katika benki hii ili kuongeza kasi ya uwekezaji nchini? |
||||||
| ANSWERS TO SUPPLEMENTARY QUESTION # 123 SESSION # 7 | ||||||
|
||||||
| NAIBU WAZIRI WA FEDHA : Mheshimiwa Spika, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Luhaga Mpina, kama ifuatavyo:- Najibu ndio. Tumeshaanza kutenga bilioni 100 kama ilivyo kwenye mpango wa miaka mitano wa maendeleo na zitatolewa. |
||||||