Home » Members »Supplementary Question
Supplementary Question
 |
Saleh, Kidawa Hamid[CCM]
Special Seat |
|
|
|
|
|
|
| 6 |
1 |
PRIME MINISTER'S OFFICE (POLICY, COORDINATION AND PARLIAMENTARY AFFAIRS) |
Central Government |
31 January 2012 |
Mheshimiwa Spika, ahsante sana. Naomba niulize swali moja la nyongeza. Kwa kuwa kule Zanzibar Mbwa wa Polisi anayetumika kuchunguza dawa za kulevya amefariki dunia:-
Je, Serikali ina mpango gani wa kupeleka Mbwa mwingine haraka iwezekanavyo kabla wahalifu hawajatumia huo mwanya?
|
| ANSWERS TO SUPPLEMENTARY QUESTION # 1
SESSION # 6 |
 |
Answer From Hon.Kagasheki, Ambassador Khamis Juma Suedi
PRIME MINISTER'S OFFICE (POLICY, COORDINATION AND PARLIAMENTARY AFFAIRS) |
|
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI:
Mheshimiwa Spika, naomba kujibu swali la nyongeza la Mheshimiwa Mbunge kwamba, Chombo cha Polisi kitaendelea daima wala siyo kwamba ni mtu binafsi isipokuwa ni taasisi iliyokamilika. Kwa hiyo, nataka nimhakikishie Mheshimiwa Mbunge kwamba ni kweli tumeondokewa na huyo Polisi, lakini kazi zinaendelea na wapo Polisi wengine watawekwa kutazama majukumu haya. |
|
|
|