Home » Members »Supplementary Question
Supplementary Question
 |
Mlaki, Rita Louise[CCM]
Special Seat |
|
|
|
|
|
|
| 4 |
184 |
WORKS |
Works |
5 July 2011 |
Mheshimiwa Spika, asante kwa kuniona, Serikali imefikia wapi mpango wa kujenga barabara ya lami, kuelekea hifadhi ya taifa iliyopo Ruaha Iringa ambayo ni ya pili kwa ukubwa nchini?
|
| ANSWERS TO SUPPLEMENTARY QUESTION # 184
SESSION # 4 |
 |
Answer From Hon.Mwakyembe, Dr. Harrison George
WORKS |
|
NAIBU WAZIRI WA UJENZI - (BARABARA NA VIWANJA VYA NDEGE):
Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi napenda kujibu swali la nyongeza la Mheshimiwa Ritta Kabati, Mbunge Viti Maalum kama ifuatavyo.
Mheshimiwa Spika, kwa sababu suala la ujenzi wa barabara kutoka Iringa kwenda mbuga au hifadhi ya taifa ya Ruaha, ni suala ambalo tumeliangalia kwa kina kama Wizara ningemuomba Mheshimiwa Mbunge alilete kama suala mahususi ili tuweze kumjibu kinaganaga na wananchi waweze kufaidika kwa majibu yetu.
|
|
|
|