Contributions
 |
Mfutakamba, Athuman Rashid[CCM]
Igalula Constituency |
|
| Session No |
Seating No |
Contribution Date |
Contribution To |
| 4 |
17 |
1 July 2011 |
Makadirio ya Matumizi ya Serikali kwa Mwaka 2011/2012 - Ofisi ya Waziri Mkuu na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa |
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI:
Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa niaba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu nataka kumthibitishia yale ambayo tumeyatamka Bungeni Desemba, 2011 uwanja utakamilika, Mheshimiwa Waziri alikuwa juzi kule na ameongea na mkandarasi na tumempa ultimatum Desemba uwanja ufunguliwe. Nashukuru. |
|
|
| |