You are using an older version of Internet Explorer.

In order to get the most out of our website, you can get a free update of Internet Explorer.
If you're using a work computer, please contact your IT administrator.

[CLOSE]
  email E-mail this to a friend email Printable version

Contributions

Session No Seating No Contribution Date Contribution To
7 4 13 April 2012 Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2012 [The Social Security Laws (Amendments) Act, 2012)
Dakika moja na nusu, Kambi ya Upinzani ilipendekeza kwa kuunga mkono mapendekezo haya ambayo yamewasilishwa kwamba reduction zitoke kwenye profit and income from the investment ili isimguse kabisa mwanachama kwa sababu administration cost na zenyewe zinatokana na mafao ya wanachama, matokeo ya kuingiza regulator kutegemea administration cost ni scheme hizi zitaongeza administration cost ili ku-compensate kiwango ambacho wanakwenda kulipa. Sasa regulator akipata mapato kutoka kwenye profit au mapato yanatokana na uwekezaji wa zile scheme atafanya kazi vizuri ya kusimamia zile scheme ili zizalishe mapato mengi zaidi akijua kwamba na yeye atapata kutokana na yale mapato kuliko gharama za uendeshaji. Kwa hiyo, naunga mkono kuondolewa kwa haya maneno lakini maneno mbadala yawe yanayojikita kwenye
kulinda maslahi ya wale wanachama.

Mheshimiwa Mwenyekiti, lakini bado kuna haja ya kujali hoja ya Mheshimiwa Wenje baadaye na kuweka mipaka ya mamlaka ya Waziri katika kazi kwa kupitia kanuni badala ya kuwa na Government Gazette kwa maana ya notice ya viwango peke yake bila na kuwa na regulation za ukokotoaji na kadhalika. Kwa hiyo, bado hoja ya Mheshimiwa Wenje naamini itapata wasaa wa kuwasilishwa na yenyewe nitaomba niiunge mkono.