You are using an older version of Internet Explorer.

In order to get the most out of our website, you can get a free update of Internet Explorer.
If you're using a work computer, please contact your IT administrator.

[CLOSE]
  email E-mail this to a friend email Printable version

Contributions

Mwakyembe, Dr. Harrison George[CCM]

Kyela Constituency
Session No Seating No Contribution Date Contribution To
4 17 1 July 2011 Makadirio ya Matumizi ya Serikali kwa Mwaka 2011/2012 - Ofisi ya Waziri Mkuu na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
NAIBU WAZIRI WA UJENZI:

Mheshimiwa Mwenyekiti, naomba nimjibu Mheshimiwa Mbunge kwamba, chini ya Sheria yetu ya Bunge ya mwaka 2007, mtu yeyote ambaye barabara inamfuata anastahili kulipwa fidia, lakini yule mtu ambaye amejenga ndani ya hifadhi ya barabara, huyo hastahili kulipwa fidia. Kwa hiyo, ningemwomba Mheshimiwa Mbunge ajue, kama kuna mtu yeyote ambaye amefuatwa na barabara, anastahili kulipwa fidia.