You are using an older version of Internet Explorer.

In order to get the most out of our website, you can get a free update of Internet Explorer.
If you're using a work computer, please contact your IT administrator.

[CLOSE]
  email E-mail this to a friend email Printable version

Contributions

Chikawe, Mathias Meinrad[CCM]

Nachingwea Constituency
Session No Seating No Contribution Date Contribution To
5 5 14 November 2011 Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma wa Mwaka 2011 (The Public Procurement Bill, 2011)
WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (UTAWALA BORA):

Nashukuru Mheshimiwa Mwenyekiti. Nataka kutoa ufafanuzi tu kidogo. Haya Mashirika yote ya Umma yameundwa chini ya Public Corporation Act. Lakini si mashirika yote ya umma yako chini ya Sheria hiyo. Mashirika mengi ya umma yameundwa na sheria zake zenyewe. Mashirika machache sana yameundwa na Public Corporation Act, hayazidi hata manne au matano. Kwa hiyo, si sheria hiyo ina-apply kwa mashirika yote, hapana. Nilitaka kutoa tu ufafanuzi huo.