Contributions
 |
Hewa, Maria Ibeshi Nkamba[CCM]
Special Seat |
|
| Session No |
Seating No |
Contribution Date |
Contribution To |
| 4 |
29 |
20 July 2011 |
Makadirio ya Matumizi ya Serikali kwa Mwaka 2011/2012 Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi |
Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante. Wakati nachangia kwa kuzungumza Bungeni nilizungumzia suala la uanzishwaji wa Vyuo Vishiriki vya Elimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kikiwemo cha kuanzisha Chuo cha Butimba ambacho kimelengwa kwa upande wa Kanda ya Ziwa na Kanda ya Magharibi lakini sikupata jibu. Naomba kupata majibu kutoka kwa Waziri, wamefikia hatua gani ili na sisi tuweze kukiona hicho chuo. Ahsante. |
|
|
| |