You are using an older version of Internet Explorer.

In order to get the most out of our website, you can get a free update of Internet Explorer.
If you're using a work computer, please contact your IT administrator.

[CLOSE]
  email E-mail this to a friend email Printable version

Contributions

Mlata, Martha Mosses[CCM]

Special Seat
Session No Seating No Contribution Date Contribution To
5 4 11 November 2011 Muswada wa Sheria ya Manunuzi ya Umma wa Mwaka 2011
Mheshimiwa Mwenyekiti, nashukuru sana. Kwanza, ninachotaka kusema, katika imani naamini kwamba, unapokuwa na lengo au unapokuwa na safari, mara nyingi shetani huwa anaweka vikwazo mbele yetu. Kwa hiyo na mimi nikawa nimetumia mfano huu kwamba kama Watanzania, tuangalie ni namna gani tusije tukafarakana mbele ya safari katika kutengeneza mambo yetu, basi!