Contributions
 |
Sitta, Margaret Simwanza[CCM]
Special Seat |
|
| Session No |
Seating No |
Contribution Date |
Contribution To |
| 5 |
9 |
18 November 2011 |
Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa Mwaka 2011 (The Constitutional Review Act, 2011) |
Mheshimiwa Spika, nampongeza Waziri wa Katiba na Sheria na Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria na wote waliohusika na maandalizi ya Muswada huu. Suala la kuwa na Bunge la Katiba na kuwa na Kura ya Maoni liangaliwe upya kama ni lazima kuwa na vyote viwili. Muswada uwe wazi katika kueleza cha kufanya pale ambapo upande mmoja wa Muungano utakataa kupitia kura ya maoni. |
|
|
| |