Parliament of Tanzania

News & Events

18th Mar 2021

Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

16th Mar 2021

kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Ardhi kushughulikia madeni ya Taasisi za Serikali na zisizo za Serikali ambazo zinadaiwa madeni ndani ya siku 90 kwasababu Mikoa mingi bado inadaiwa madeni makubwa.

15th Mar 2021

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imewaagiza Halmashauri zote nchini ambazo zilikopeshwa fedha na Wizara ya Ardhi kwa ajili ya mradi wa Kupima na Kumilikisha ardhi kurejesha fedha hizo kabla ya tarehe 25 Machi, 2021 ili fedha hizo ziweze kukopeshwa kwa Halmashauri nyingine.

14th Mar 2021

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kupunguza tatizo la ujangili hapa nchini.

11th Mar 2021

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2021/22 katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's