United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
10th Nov 2023
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akisoma Hotuba ya kuahirisha Bunge ambapo Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge umehitimishwa na hivyo Bunge limeahirishwa hadi tarehe 30 Januari, 2024
10th Nov 2023
Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) amezindua Bunge Marathon itakayofanyika tarehe 13 Aprili 2024 Dodoma, leo tarehe 09 Novemba 2023 ukumbi wa Msekwa Dodoma
06th Nov 2023
Waziri wa Nchi-Ofisi yaRais (Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2024/2025
06th Nov 2023
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2024/25