United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
04th Dec 2021
Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akikabidhi Bendera kwa Timu ya Bunge kwa ajili ya Mashindano ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayoanza Desemba 5, 2021 Jijini Arusha.
24th Nov 2021
Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Tano wa Bunge Jijini Dodoma
05th Nov 2021
Waziri wa Fedha na Mipango,Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2022/23