Parliament of Tanzania

News & Events

18th Mar 2022

Meneja wa Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) Mkoa wa Kilimanjaro, Nicholas Francis akitoa maelezo kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuhusiana na Barabara ya St.Dorcus iliyopo Wilayani Hai wakati Kamati hiyo ilipofanya ziara kukagua barabara hiyo

17th Mar 2022

Mkuu wa Idara ya Mitambo katika Chuo Kikuu cha Arusha, Dkt. Daniel Ngoma akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) katika Karakana ya Chuo hicho, Kamati hiyo ilitembelea Chuo hicho na kukagua miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ujenzi wa maabara, bweni na madarasa

15th Mar 2022

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) katika ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Mji Mafinga Mkoani Iringa

14th Mar 2022

Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2022/23 mbele ya Waheshimiwa Wabunge katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma

11th Feb 2022

Mbunge wa Ilala, Mhe. Mussa Azan Zungu akiapa mara baada ya kuwa kuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's