Parliament of Tanzania

News & Events

21st Apr 2022

Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora), Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha kwa mwaka 2022/23.

14th Apr 2022

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashugwa akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2022/23.

06th Apr 2022

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim M. Majaliwa (Mb), akiwasilisha Bungeni Mapitio na Mwelekeo wa kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri Mkuu na ofisi ya Bunge kwa mwaka 2022/2023.

04th Apr 2022

Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma kuhusu vikao vya Bunge kurushwa live

29th Mar 2022

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), wakipokea maelezo kutoka kwa Meneja Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT), Barakael Mmari kuhusiana na ujenzi wa Daraja la Mabasi hayo unaondelea katika eneo la Bandari, wajumbe hao wamekagua mradi huo wa Awamu ya II unaotekelezwa na Wakala wa Barabara (TANROADS)

Hon. Dr. Tulia Ackson

Speaker

Legislative Role

Profile

Ask the Speaker / Comments

Ms. Nenelwa J. Mwihambi

Clerk of the National Assembly

Legislative Role

Profile

Ask the Clerk / Comments

View All MP's