United Republic of Tanzania
Parliament of Tanzania
24th Mar 2024
Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) amehutubia kwa mara ya kwanza, Mkutano wa 148 IPU toka achaguliwe kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, nchini Uswisi, Geneva
20th Mar 2024
Ujumbe kutoka Bunge la Tanzania, ukiongozwa na Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), umewasili Geneva Uswiss tayari kwa mkutano wa 148 IPU Ujumbe huo umeanza ziara yake kwa kutembelea ubalozini na kupokelewa na Mwakilishi wa Kudumu UN Geneva Dkt. Abdallah Possi ambaye alitoa taarifa kuhusu majukumu na hali ya ofisi ya ubalozi kwa ujumla..
11th Mar 2024
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akiongoza Mkutano wa Wabunge wote wa kupokea Mapendekezo ya Serikali ya Mpango na Kiwango cha Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka fedha 2024/2025.Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
11th Mar 2024
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka fedha 2024/2025 katika Ukumbi wa Pius Msekwa
11th Mar 2024
Waziri wa Ofisi ya Rais-Uwekezaji na Mipango, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2024/25 katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma
Hon. Capt. (Mst). George Huruma Mkuchika
Newala Mjini (CCM)