Waziri wa katiba na Sheria Mhe. Celina Kombani akifafanua Jambo Mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge Katiba, Sheria na Utawala mara baada ya Kuwasilisha baadhi ya mabadiliko katika Muswada huo yaliyoletwa na Serikali. Kamati hiyo ndiyo inayoshughulikia Muswada wa Mabadiliko ya Katiba, kabla haujawasilishwa Bungeni