You are using an older version of Internet Explorer.

In order to get the most out of our website, you can get a free update of Internet Explorer.
If you're using a work computer, please contact your IT administrator.

[CLOSE]

Photo Gallery

Search
Search From Date Month Year
To Date Year
         

Ujumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tanzania Bara Mhe. Pius Msekwa, (kulia), Naibu Katibu Mkuu Taifa Capt. John Chiligati (katikati) na Katibu Mwenezi wa Chama Bw. Nape Nauye wakiwa katika ofisi ya Spika wa Bunge leo tarehe 20/5/2011. Huu ni mwendelezo wa mjadala wa kupata tume ya kuratibu mchakato wa katiba mpya.

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akisalimiana na kumkaribisha ofisini Mwenyekiti wa TLP Mhe. Auugustine L. Mrema (Mb) alipowasili ofisini hapo kuhudhuria mjadala wa maboresho ya muswada wa Tume ya kuratibu mchakato wa Katiba mpya.

Ujumbe uliondamana na Mhe. Mrema ukimsikiliza Mhe. Spika. Kutoka Kulia ni Mwenyekiti wa TLP Mhe Augustine L. Mrema, Katibu wa Chama…., Mkurugenzi wa Utwala…. Na Katibu wa Wanawake TLP Taifa Bi Nancy Mrikari.

Mwenyekiti wa DP Mchungaji Christopher Mtikila akitoa msimamo cha chama chake kwenye mchakato wa kuunda tume ya kukusanya maoni. DP inasisitiza kwamba Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania haiwezekani ila ya Tanganyika tu.

Viongozi wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala wakifuatilia mjadala kwa makini. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati Mhe. Pindi Chana, Makamu Mwenyekiti Mhe. Angela Kairuki na Mjumbe wa Kamati Mhe. Musa Ally Kombo, Mb.

The Clerk of the National Assembly of the United Republic of Tanzania Dr. Thomas Kashililah in conversation with delegation that paid him a courtesy call in his office in Dar es Salaam on 20th May 2011. Towards his right is Hon, Abdulkarim Shah (Tanzania), Deputy Speaker Hon. Nazim Ahmed (Maldives), Deputy Speaker Hon.Kenneth (Barbados), Hon. Mohamed Mustapha (Maldives) and Hon. Chaudhry (Bangladesh) The Delegation coming from Small Island States of the Commonwealth Parliamentary Association (CPA) is in Tanzania attending a Climate Change Meeting in Zanzibar. Dr. Kashililah is the Regional Secretary –CPA Africa.