| E-mail this to a friend | Printable version |
| Title |
|---|
Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Kilimo na Ardhi juu ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo na Chakula kwa mwaka wa Fedha 2004/2005 pamoja na maoni ya Kamati juu ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2005/2006. |
Taarifa ya Kamati ya Bunge ya MiundoMbinu kuhusu utekelezaji wa Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi katika mwaka wa Fedha uliopita; pamoja na maoni ya Kamati kuhusu makadirio ya matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2005/2006. |
Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kuhusu utekelezaji wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto katika mwaka wa Fedha 2004/2005 pamoja na maoni ya Kamati kuhusu makadirio ya matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2005/2006. |
Taarifa ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Biashara; Maoni na ushauri wa kamati kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka 2005/2006. |
Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii kuhusu makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Elimu na Utamaduni kwa mwaka 2005/2006. |
Taarifa ya Kamati ya Bunge ya MiundoMbinu kuhusu utekelezaji wa Wizara ya Ujenzi katika mwaka wa Fedha uliopita; pamoja na maoni ya Kamati kuhusu makadirio ya matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2005/2006. |
Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala kuhusu utekelezaji wa Kazi katika Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa Fedha 2004/2005 na maoni ya Kamati kuhusu makadirio ya matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa Fedha wa 2005/2006. |
A report to the Parliamentary Committee for Finance and Economic Affairs on Economic Developments in 2003/2004 and Outlook for 2004/2005 |
Finance and Economic Affairs |
Public Accounts |