|
|
| Home »Supplementary Question |
| |
 |
E-mail this to a friend |
 |
Printable version |
 |
Komba, Capt. John Damiano[CCM]
Mbinga Magharibi Constituency |
|
|
|
|
|
|
| 2 |
102 |
INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT |
Works |
17 February 2006 |
Mheshimiwa Spika, kwa kuwa Serikali imeshaanza ujenzi wa barabara ya kando kando ya Ziwa Nyasa kuanzia Lituhi, Mbaha, Ngumbo, Liuli, Mbamba bay, Chiwanda hadi Chiwindi mpakani mwa Msumbiji lakini kwa kasi ndogo.
(i) Je, Serikali ina mpango gani wa kuwahimiza makandarasi waliopewa barabara hizo ili kuhimiza uharaka wa kasi ili mazao yaweze kusafirishwa kwa haraka na wepesi?
(ii) Je, Serikali inaweza kuamuru makandarasi hao kuweka zaidi kokoto na changarawe badala ya udongo tifutifu na matope?
|
| ANSWERS TO SUPPLEMENTARY QUESTION # 102
SESSION # 2 |
 |
Answer From Hon.Mahanga, Dr. Milton Makongoro
INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT |
|
NAIBU WAZIRI WA MIUNDOMBINU:
Mheshimiwa Spika, kwa kweli Wizara yangu imepania kuhakikisha kwamba makandarasi wanaofanya kazi kwenye barabara zetu wanakwenda kwa speed kali na vile vile kwa kiwango kinachohitajika.
Mheshimiwa Spika, kwa hiyo, tunafuatilia kila wakati tunapopata taarifa kwamba mkandarasi fulani analegalega na kwa sababu Mheshimiwa Mbunge ametupatia taarifa hiyo tutaifuatilia mara moja.
|
|
Records 1 to 1 of 27 |
|
|
|
|
|
|
|
|
 |
|
 |
| Estimate of Public Expenditure Development votes and supply vote |
|
| |
|
|
 |
President Jakaya Kikwete posing in group photo on 21.8.2008. Seated from left is the PM, Hon.Pinda, Vice President Dr. Shein and his right hand side is the Speaker of the National Assembly, Hon. Sita and the Deputy Speaker Hon. Makinda. Standing from right is Hon. Hamad Rashid (Opposition leader), The acting Clerk of the National Assembly, Dr. Kashililah, Hon. Ndugai, Hon. Mhagama and Hon. Zubeir Maulid (bunge Charpersons) |
| More photos |
|
|
| S | M | T | W | Th | F | S |
|---|
| | | 1 | 2 | 3 | 4 | | 5 | 6 | 7 | 8 | 9 | 10 | 11 | | 12 | 13 | 14 | 15 | 16 | 17 | 18 | | 19 | 20 | 21 | 22 | 23 | 24 | 25 | | 26 | 27 | 28 | 29 | 30 | | | |
|
More events |
|