|
|
| Home »Contribution |
|
| |
 |
E-mail this to a friend |
 |
Printable version |
 |
Komba, Capt. John Damiano[CCM]
Mbinga Magharibi Constituency |
|
|
|
|
|
| 20 |
27 |
9 July 2010 |
Makadirio ya Matumizi kwa Mwaka wa 2010/2011 Wizara ya Nishati na Madini |
Mheshimiwa Mwenyekiti, naunga mkono hoja. Swali kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiwaomba Wizara kupeleka umeme kwenye Mji wa Mbamba Bay bila majibu. Kwa kuwa sasa Mbamba Bay ni Makao Makuu ya Wilaya mpya ya Ziwa Nyasa na kwa kuwa tayari Wilaya ya Mbinga imetoa generator ambayo ni mali ya Halmashauri ya Wilaya hiyo na ambayo TANESCO waliitumia awali kufua umeme kabla ya Serikali kununua mpya, na kwa kuwa sera ya nchi kuhusu umeme ni kuwa kila penye Makao Makuu ya Wilaya papatiwe umeme na kwa kuwa kazi ya pale Mbambabay kwa TANESCO ni kusambaza nyaya za umeme tu ili kuwasha umeme.
Mheshimiwa Mwenyekiti, je, ni lini na kwa uharaka upi Mji wa Mbamba Bay utapatiwa huduma hiyo?
|
|
Records 1 to 1 of 31 |
|
|
|
|
|